• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 29, 2012

  SIMBA SC NA TUSKER KATIKA PICHA TAIFA LEO

  Mshambuliaji wa Simba SC, Abdallah Juma akijaribu kumtoka beki wa Tusker ya Kenya, Frederick Onyango katika mchezo wa kirafiki jioni hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tusker ilishinda 3-0. 

  Beki wa Tusker, Joseph Shikokoti akikabiliana na kiungo wa Simba Abdallah Seseme kushoto 

  Seseme akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Tusker

  Haruna Athumani akitafuta mbonu za kumtoka beki wa Tusker, Onyango

  Jeremiah Bright wa Tusker akimdhibiti Mussa Mudde wa Simba

  Haruna Shamte akiosha

  Haruna Athumani akikabiliana na beki wa Tusker, Edwin Ombassa

  Kiggi makassy akimdhibiti Jesse Were

  Mudde akitafuta njia

  Shikokoti ameruka hewani kupiga kichwa peke yake

  Shikokoti akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Simba, Haruna Athumani

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: SIMBA SC NA TUSKER KATIKA PICHA TAIFA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top