• HABARI MPYA

  Jumanne, Desemba 25, 2012

  SEBA AJISHINDIA UZI WA MAN UNITED FACEBOOK

  Mshindi wa jezi ya Manchester united kupitia shindano la Facebook ya Airtel bi.Seba Aggrey akionyesha jezi yake iliyosainiwa na wanachama wa timu hiyo aliyokabidhiwa katika ofisi za makao makuu ya Airtel  jijini Dar Es Salaam baada ya kutangazwa mshindi.

  Afisa uhusiano na matukio wa Airtel kushoto Dangio Kaniki akimkabidhi  jezi  ya Manchester United mshindi wa Facebook ya Airtel bi. Seba Aggrey  alipotembelea makao makuu ya Airtel jijini Dar Es Salaam baada ya kuibuka mshindi .

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: SEBA AJISHINDIA UZI WA MAN UNITED FACEBOOK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top