• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 24, 2012

  AZAM NA MWALI WAO UWANJA WA NDEGE WA NDJILI

  Nahodha wa Azam, Jabir Aziz Stima akiwa na Kombe la Hisani la FECOFA, Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ndjili, Kinshasa, baada ya kukabidhiwa, kufuatia ushindi wa penalti 4-2 dhidi ya Dragons juzi Uwanja wa Martyrs mjini hapa. Azam FC ianaondoka leo saa 5:00 za hapa, sawa na saa 7:00 mchana za Afrika Mashariki, kurejea nyumbani Tanzania kwa furaha baada ya kutwaa taji hilo.

  Wachezaji na mwali wao Uwanja wa Ndege

  Wachezaji na mwali

  Uhuru Suleiman na beki la shughuli, David Mwantika
  Mfungaji bora wa mashindano Gaudence Mwaikimba
  Daktari Paulo Gomez
  Kocha Kali Ongala
  Kipre Balou
  Kipre Tchetche
    

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: AZAM NA MWALI WAO UWANJA WA NDEGE WA NDJILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top