Mwanzo > Untagged VITOTO VYA KINSHASA KWA KURUKA UKUTA, USIVIPIMIE... VITOTO VYA KINSHASA KWA KURUKA UKUTA, USIVIPIMIE... Dogo akiruka ukuta kwenda kutazama mechi kati ya Azam FC na Shark FC juzi Uwanja wa Martyrs. Mwenzake tayari yupo ndani Mwingine naye huyo anatimba Wanateremka Huyu kaona noma, askari anakuja...karudi Huyu kadakwa na mlinzi, anakula kibano Huyu ndio anajiachia Wednesday, December 19, 2012