• HABARI MPYA

  Ijumaa, Desemba 21, 2012

  AZAM FC ILIVYOING'OA TIMU YA KABILA KINSHASA LEO

  Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao la pili lililofungwa na Kipre Tchetche katika mchezo wa leo wa Nusu Fainali ya Kombe la Hisani hapa DRC, kwenye Uwanja wa Martyrs mjini Kinshasa. Azam ilishinda kwa penalty 5-4, kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 90 na sasa itamenyana na mshindi kati ya Dragons na FC Mk Jumapili.

  Beki David Mwantika kulia na kipa Mwadini Ally baada ya dakika 90, wakijiandaa kwa penalti

  Kipre Tchetche akishangilia baada ya kufunga bao la pili

  Mwaikimba akigombea mpira na beki wa Shark

  Mwaikimba akiruka hewani dhidi ya beki wa Shark kuwania mpira kwa kichwa

  Kipre Balou akigombea mpira na kiungo wa Shark FC

  Samih Hajji Nuhu akiambaa na mpira wingi ya kushoto

  Kipre Tchetche akijiandaa kupiga mpira kufunga bao la pili

  Kipre Tchetche akiteleza kwenye chaki

  Humphrey Mieno kulia akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Shark

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: AZAM FC ILIVYOING'OA TIMU YA KABILA KINSHASA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top