• HABARI MPYA

  Ijumaa, Desemba 28, 2012

  TASWA ILIVYOKUFA 'KIUME' LEO BAGAMOYO

  Kiungo wa TASWA FC, Juma Pinto (kushoto) akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Bagamoyo Veterans, huku Shaffih Dauda (kulia) akiwa tayari kumpa msaada katika mchezo wa kirafiki uliofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Mwanakalenge, Bagamoyo mkoani Pwani. Bagamoyo Veterans ilishinda 3-0.


  Dhoruba; Julius Kihampa akiwa ameangushwa chini na mchezaji wa Bagamoyo Veterans

  Mohamed Akida kulia akiambaa

  Saleh Ally akimburuza mtu

  Mshambuliaji Majuto Omary kulia akiambaa na mpira

  Waandishi wakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmad Kipozi 

  Benny Kisaka akimuongoza Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmad Kipozi kuingia uwanjani

  Mchezaji wa TASWA, Juma Pinto akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmad Kipozi kulia

  Kocha wa TASWA, Ibrahim Masoud akitoa mawaidha kwa wachezaji wakati wa mapumziko


  Waandishi nguli wa kike nchini wakifuatilia mchezo huo

  Beki Ally Mkongwe akikokota mpira kushoto

  Kiungo Juma Pinto akipambana

  Kipa Ibrahim Bakari pamoja na kufungwa tatu, lakini aliokoa kama 20 za wazi mojawapo hii hapa, shuti la hapa na hapa

  Shaffih Dauda akigombea mpira na mchezaji wa Bagamoyo


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: TASWA ILIVYOKUFA 'KIUME' LEO BAGAMOYO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top