• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 29, 2012

  MSHKAJI ALIYEZIPIGA KAVU KAVU NA DEMU TAIFA AKAMATWA NA POLISI


  ‘Raia mwema’ mmoja jioni hii amedakwa na Polisi na kupelekwa mbele, baada ya kuzipiga na mwanamke Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, wakati mchezo wa kirafiki kati ya Simba SC na Tusker ukiendelea. Wote walichaniana nguo katika ugomvi huo kabla ya kuamuliwa na raia wenzao, ndipo baadaye askari akaja kumkamata mwanaume kwanza na kabla ya kumuunganisha mwanamke na kuondoka nao mbele. Cheki mchezo kamili ulivyokuwa…
  Zinapigwa, jamaa anaamulia

  Ndindo

  Jamaa alijitahidi sana kuamulia tangu wanaanza tu

  Pambano linaendela

  Refa kazi alikuwa nayo

  Marefa walipoongezeka, ndipo pambano lilisimama

  Cheki kazi hiyo

  Hadi kuchaniana nguo

  Kaazi kweli kweli

  Afande kamdaka mshkaji, anaondoka naye...

  Kamuunganisha na binti waliyekuwa wanagombana naye...mbele kwa mbele hiyo

  Binti bado anampa maneno tu mshkaji mbele ya askari...

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MSHKAJI ALIYEZIPIGA KAVU KAVU NA DEMU TAIFA AKAMATWA NA POLISI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top