• HABARI MPYA

  Jumanne, Desemba 25, 2012

  AZAM WATUA DAR SALAMA

  Nahodha wa Azam, Jabir Aziz Stima akishuka kwenye ndege na Kombe la Hisani la FECOFA, Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam usiku wa jana, baada ya kuwasili wakitokea Kishansa, DRC walikotwaa taji hilo, kufuatia ushindi wa penalti 4-2 dhidi ya Dragons Jumamosi kwenye Uwanja wa Martyrs mjini humo. Azam FC ilifika jana saa 6:15 usiku baada ya safari ndefu kuanzia saa 11:00 Alfajiri kutoka Kinshasa.

  kocha aliyeipa timu ubingwa, Kali Ongala akitoka Uwanja wa Ndege

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: AZAM WATUA DAR SALAMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top