Mwanzo > Untagged SIMBA SC HUYU SI MCHEZAJI WENU! SIMBA SC HUYU SI MCHEZAJI WENU! Aliyekuwa kiungo wa Simba, Kanu Mbivayanga akiwa na mchezaji mwenzake wa AS Vita ya DRC, Taddy Etikiama mjini Kinshasa juzi. Kanu alitemwa Simba SC baada ya miezi miwili tu ya kusajiliwa na sasa anatamba na timu ya nyumbani. Wednesday, December 19, 2012