• HABARI MPYA

  Wednesday, January 21, 2009

  SMG AONDOKA AKIITAKIA HERI YANGA


  Nyota wa zamani wa klabu ya Yanga, Said Maulid ameondoka leo mjini Dar es Salaam kwa ndege ya shirika la ndege la Msumbiji, kurejea Angola anakochezea klabu ya Onze Bravos de Marquis ya Ligi Kuu.

  SMG aliyeondoka leo Alasiri, ameitakia kila la heri klabu yake ya zamani, Yanga iweze kutetea ubingwa wake wa Ligi Kuu ya Vodacom TZ Bara na kufanya vizuri katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SMG AONDOKA AKIITAKIA HERI YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top