• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 23, 2009

  MAMBO YA ZAIN HAYOOOOOO, USIPIME

  Mkufunzi kutoka Ubelgiji, Archelle Eric (kulia) akitoa
  maelekezo wakati wa mazoezi ya viungo kwa mmoja wa wacheza sarakasi wa
  kikundi cha Zain Mama Afrika Sarakasi, Vuai Zahoro, Dar es Salaam jana.
  Maonyesho hayo ya sarakasi ya Zain yanahamishiwa viwanja vya Biafra,
  Kinondoni mwishoni mwa mwezi huu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAMBO YA ZAIN HAYOOOOOO, USIPIME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top