
Mshambuliaji wa JKT Ruvu, Bakari Kondo (kulia) akichuana na beki wa Azam FC Boniphace Pawasa katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom Tz Bara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mshambuliaji huyu, ana kasi, nguvu, uwezo kumiliki mpira akicheza katikati au pembeni. Hakika kama ataendeleza juhudi, bila shaka muda si mrefu ataingia kwenye kapu la wachezaji bora nchini.
0 comments:
Post a Comment