• HABARI MPYA

  Saturday, January 31, 2009

  MAMBO YALIVYOKUWA LAGOS 1980...

  Nahodha wa Taifa Stars, Henry Joseph (kushoto) akijaribu kumtoka mchezaji wa Mauritius katika mechi ya kuwania tiketi ya kucheza fainali za Mataifa ya Afrika nchini Angola, mwaka 2010. Tanzania haijafuzu.

  Tanzania imeshiriki mara moja tu fainali za soka Kombe la Mataifa ya Afrika CAN, mwaka 1980 mjini Lagos Nigeria na kutolewa Raundi ya Kwanza. Ilipangwa kundi gani, ilicheza na nani lini na matokeo yalikuwaje? cheki hapo chini.......

  KUNDI A
  Lagos.
  Machi 8, 1980
  Nigeria 3-1 Tanzania
  WAFUNGAJI:
  Nigeria: Lawal dk 11, Onyedika dk. 35, Odegbami dk 85.
  Tanzania; Thuwein Ally dk. 54
  Misri 2-1 Ivory Coast
  WAFUNGAJI:
  Misri: Maher Hammam dk. 8, Mokhtar Mokhtar dk. 20
  I. Coast: Ani Gome dk. 7
  Machi 12, 1980
  Misri 2-1 Tanzania
  WAFUNGAJI:
  Misri: Hassan Shehata dk. 32, Mosaad Nour dk. 38
  Tanzania: Thuwein Ally dk. 86
  Nigeria 0-0 Ivory Coast:
  Machi 15, 1980
  Ivory Coast 1-1 Tanzania
  WAFUNGAJI:
  Ivory Coast: Kobenan dk. 7
  Tanzania: Thuwein Ally dk. 59
  Nigeria 1-0 Misri
  MFUNGAJI: Isima dk. 15

  MSIMAMO WA KUNDI A
  Pts P W D L GF GA GD
  Nigeria 5 3 2 1 0 4 1 +3
  Misri 4 3 2 0 1 4 3 +1
  I. Coast: 2 3 0 2 1 2 3 -1
  Tanzania 1 3 0 1 2 3 6 -3
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAMBO YALIVYOKUWA LAGOS 1980... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top