• HABARI MPYA

    Sunday, July 05, 2026

    MBAPPE AFUNGA UFARANSA YAITUPA NJE PARAGUAY


    UFARANSA imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Paraguay Lincoln Financial Field Jijini Philadelphia,  Pennsylvania nchini Marekani.
    Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, mshambuliaji wa Real Madrid ya Hispania, Kylian Mbappé Lottin kwenye asili ya Cameroon aliyefunga kwa mkwaju wa penalti dakika ya 70.
    Sasa Ufaransa watakutana na Morocco katika Robo Fainali Julai 9 Uwanja wa Gillette Jijini Foxborough, Massachusetts, Marekani.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MBAPPE AFUNGA UFARANSA YAITUPA NJE PARAGUAY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top