Luis Suarez wa Barcelona akibinuka tik tak mbele ya wachezaji wa Real Sociedad katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Manispaaa ya Anoeta mjini Donostia-San Sebastián. Barcelona imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Luis Suarez dakika ya 63 na Ousmane Dembele dakika ya 66 wakati la Real Sociedad lilifungwa na Aritz Elustondo dakika ya 12 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
12 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment