Leroy Sane (kulia) akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya pili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Fulham leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad leo. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na David Silva dakika ya 21 na Raheem Sterling dakika ya 47 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
12 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment