Gareth Bale akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Real Madrid dakika ya 58 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya AS Roma usiku wa Jumatano kwenye mchezo wa Kundi G Uwanja wa Santiago Bernabeu. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Francisco Roman Alarcon Suarez 'Isco' dakika ya 45 na Mariano Diaz dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Brighton dominate ten-man Villa
-
Brighton start their season with an emphatic win at home against Europa
League winners Aston Villa, with four first-half goals.
3 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment