Kiungo Mfaransa, Paul Pogba akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Manchester United dakika za 35 na 44 kwa penalti katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji Young Boys usiku wa Jumatano Uwanja wa Suisse Wankdorf Bern mjini Bern, Uswisi katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa. Bao lingine alifunga Anthony Martial dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Brighton dominate ten-man Villa
-
Brighton start their season with an emphatic win at home against Europa
League winners Aston Villa, with four first-half goals.
3 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment