Mshambuliaji wa Lyon, Memphis Depay akijaribu kupiga shuti mbele ya beki wa Manchester City katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Etihad. Lyon ilishinda 2-1 jana, mabao yake yakifungwa na Maxwel Cornet dakika ya 26 na Nabil Fekir dakika ya 43 wakati la Man City limefungwa na Bernardo Silva dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Brighton dominate ten-man Villa
-
Brighton start their season with an emphatic win at home against Europa
League winners Aston Villa, with four first-half goals.
3 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment