Mshambuliaji Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Southampton leo Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Wesley Hoedt aliyejifunga dakika ya 10 na Joel Matip dakika ya 21 huo ukiwa ushindi wa saba mfululizo kwa Wekundu hao tangu kuanza kwa msimu huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment