Winga Muargentina, Angel Di Maria akimuinua mshambuliaji Mbrazil, Neymar kumpongeza baada ya kuifungia mabao mawili Paris Saint-Germain dakika za 22 na 90 na ushei katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Nice kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa jana Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice. Bao lingine la PSG limefungwa na Christopher Nkunku dakika ya 46 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment