Mshambuliaji Mbelgiji wa Chelsea, Eden Hazard akipasua katikati ya mabeki chipukizi wa Waingereza wa Liverpool, Joe Gomez na Trent Alexander-Arnold katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Chelsea ilitangulia kwa bao la Hazard dakika ya 25 akimalizia pasi ya Mateo Kovacic kabla ya Daniel Sturridge kuisawazishia Liverpool dakika ya 89 akimalizia pasi ya Xherdan Shaqiri PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment