Cristiano Ronaldo akikimbilia kushangilia baada ya kuifungia Juventus bao la kwanza dakika ya 81 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Frosinone Uwanja wa Benito Stirpe mjini Frosinone katika mchezo wa Serie A. Bao la pili la Juve limefungwa na Federico Bernardeschi dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment