Romelu Lukaku akiwa ameshika tuzo yake baada ya kukabidhiwa kufuatia kuingia kwenye orodha ya wachezaji 28 tu kuwahi kufikisha mabao 100 kwenye Ligi Kuu ya England. Lukaku alifunga bao lake la 100 mwishoni mwa msimu uliopita kwenye mechi na Swansea City na mabao hayo amefunga akiwa na klabu za Manchester United, Chelsea, Everton na West Brom PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment