• HABARI MPYA

    Sunday, September 14, 2014

    YANGA B WAPIGWA 2-0 NA AZAM ACADEMY MECHI YA UTANGULIZI TAIFA

    Said Abdallah wa Azam Academy akipasua katikati ya wachezaji wa Yanga B katika mchezo wa utangulizi kabla ya pambano la timu za wakubwa za klabu hizo la Ngao ya Jamii joini hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Azam ilishinda 2-0.
    Stanslaus Ladislaus wa Azam FC akimtoka beki wa Yanga, Oga Abillah kushoto
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA B WAPIGWA 2-0 NA AZAM ACADEMY MECHI YA UTANGULIZI TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top