• HABARI MPYA

    Friday, September 19, 2014

    SPURS YAPATA SARE UGENINI EUROPA LEAGUE

    Harry Kane wa Tottenham Hotspur akimtoka beki wa Pertizan Belgrade ya Serbia katika mchezowa Europa League mjini Belgrade jana. Timu hizo zilitoka 0-0 mchezo ukiambataa na vurugu za vurugu za mashabiki wa wenyeji, ambazo Polisi walipambana kuzituliza.  

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SPURS YAPATA SARE UGENINI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top