Refa Israel
Nkongo wa Tanzania, akiamua ugomvi kati ya wachezaji wa Rwanda na Eritrea
katika mchezo wa mwisho wa Kundi C, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na
Kati, CECAFA Tusker Challenge uliofanyika Uwanja wa Lugogo jioni ya leo. Mwenye
jezi namba nane (8) ni Nahodha wa Rwanda, Haruna Niyonzima, akumzuia mchezaji wake
kugombana na mchezaji wa Eritrea kushoto. Rwanda ilishinda 2-0 na sasa itavaana
na Tanzania katika Robo Fainali.
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...