Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania kutoka kulia, Sanifu Lazaro, David Mwakalebela, Athumani China, George Masatu na Hussein Masha baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Zaire (sasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo), bao la Innocent Haule dakika ya 63 Aprili 27, mwaka 1991 kwenye mchezo wa Kundi la Nane kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa Afrika Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
5 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment