Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp akishangilia na mshambuliaji wake, Mbrazil Roberto Firmino baada ya mechi kufuatia kutokea benchi na kuifungia timu hiyo bao la ushindi dakika ya 90 na ushei ikiwalaza Paris Saint-Germain 3-2 katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Anfield usiku wa Jumanne. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Daniel Sturridge dakika ya 30 na James Milner kwa penalti dakika ya 36 kufuatia Georginio Wijnaldum kuchezewa rafu, wakati mabao ya PSG yamefungwa na Thomas Meunier dakika ya 40 na Kylian Mbappe dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Racing driver's haunting final post just hours before tragic death in
seven-car crash during race that Formula One star Max Verstappen was taking
part in
-
A racing driver who was killed in a horror seven-car crash at Germany's
iconic Nurburgring circuit had shared his excitement at competing in the
event just...
18 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment