![]() |
Kiungo wa Yanga SC, Mrisho Ngassa akimtoka beki wa Azam FC, Shomary Kapombe |
![]() |
Mrisho Ngassa akimtoka Kipre Balou |
![]() |
Erasto Nyoni wa Azam FC akimvuta jezi Haruna Niyonzima wa Yanga SC |
![]() |
Mshambuliaji wa Azam FC, Leonel Saint- Preux akiwatoka mabeki wa Yanga SC Mbuyu Twite na Juma Abdul nyuma |
![]() |
Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akimtoka kiungo wa Yanga SC, Nizar Khalfan |
![]() |
Kiungo wa Yanga SC, Hassan Dilunga kulia akigombea mpira na kiungo wa Azam FC, Kipre Balou |
![]() |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Hussein Javu akitafuta mbonu za kumtoka beki wa Azam FC, David Mwantika kulia |
0 comments:
Post a Comment