VALENCIA AIFUNGIA WEST HAM IKITOA SARE YA 2-2 NA HULL CITY
Mshambuliaji wa West Ham United, Enner Valencia akifumua shuti la umbali wa mita 20 kuifungia timu yake bao katika sare ya 2-2 na Hull City jana mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la West Ham lilifungwa na Diafra sakho, wakati mabao ya Hull yalifungwa na Abel Hernandez na Mo Diame.
0 comments:
Post a Comment