• HABARI MPYA

    Wednesday, September 17, 2014

    PIGO ARSENAL, JACK WILSHERE ATONESHA ENKA MGUU ULE ULE ULIOMUWEKA NJE MIAKA MIWILI

    KOCHA Arsene Wenger amewalaumu wachezaji wake wa Arsenal kwa kushindwa kucheza vizuri wakichapwa mabao 2-0 na Dortmund jana, huku akirejea na kiungo Jack Wilshere akiwa majeruhi baada ya kuumia kwenye mchezo huo.
    Wilshere alitonesha enka yake ya mguu wa kulia kikosi cha Wenger kikilala 2-0 katika mchezo wa kwanza wa makundi Ligi ya Mabingwa Ulaya.
    Wlishere ameumia sehemu lie lie ambayo ilimfanya akawa nje ya Uwanja kwa miezi 17. "Ni vigumu kusema ni mbaya kiasi gani,"amesema kocha wa Arsenal. "Kwa kawaida haitakuwa mbaya sana, lakini nina wasiwasi mno kulingana na historia yake,".

    Majanga; Kiungo wa Arsenal, Jack Wilshere akiwa chini baada ya kuumia jana
    Wilshere has injured his right ankle, which has been problematic for him over the past two years
    Wilshere ameumia sehemu lie lie ambayo imekuwa tatizo kwake kwa miaka miwli iliyopita
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PIGO ARSENAL, JACK WILSHERE ATONESHA ENKA MGUU ULE ULE ULIOMUWEKA NJE MIAKA MIWILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top