Edin Hazard akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu Chelsea dakika za 37, 44 na lingine kwa penalti dakika ya 80 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Cardiff City leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Bao lingine la Chelsea limefungwa na Willian dakika ya 83 baada ya Cardiff kutangulia kwa bao la Souleymane Bamba dakika ya 16 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Girl, seven, and her aunt died in house fire a mile from A66 crash site
-
Two men, aged 23 and 31, remain in police custody, according to Cleveland
Police
8 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment