Canelo Alvarez (kushoto) akimchapa Gennady Golovkin alfajiri ya leo katika pambano la marudiano baina yao ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas, Marekani kuwania mataji ya IBO, WBA na WBC uzito wa Middle. Alvarez alishinda kwa pointi majaji wawili, 115-113 huku mwingine akitoa droo 114-114. Golovkin alilalamika kudhulumiwa kwa mara ya pili baada ya pambano la mwaka jana kutolewa droo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sunday, September 16, 2018
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment