Pepe akishangilia baada ya kuifungia Ureno bao la kusawazisha dakika ya 32 katika sare ya 1-1 na Croatia kwenye mchezo wa Ligi ya Mataifa ya Ulaya Uwanja wa Do Algarve mjini Sao Joao da Venda, hilo likiwa bao lake la saba kuifungia timu yake hiyo ya taifa katika mechi ya 100 jana. Croatia ilitangulia kwa bao la Ivan Perisic dakika ya 18 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Nigerian Newspapers: Major stories on Tuesday morning
-
Good morning to readers. Daily Sun brings you the major stories from
Nigerian Newspapers on Tuesday morning.
The post Nigerian Newspapers: Major stories ...
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment