Memphis Depay akishangilia baada ya kuifungia Uholanzi mabao mawili dakika za 60 na 83 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Peru kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Johan Cruijff Arena mjini Amsterdam. Bao la Peru limefungwa na Pedro Aquino dakika ya 13 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Brighton dominate ten-man Villa
-
Brighton start their season with an emphatic win at home against Europa
League winners Aston Villa, with four first-half goals.
7 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment