Bondia Rashid Matumla (katikati) akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Jakaya Mrisho Kikwete (baadaye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) ofisini kwake mwaka 1999 baada ya kutwaa mkanda wa ubingwa wa dunia wa ngumi za kulipwa uzito wa Light Middle kwa kumpiga Mtaliano, Paolo Pizzamiglio Juni 5, mwaka huo mjini Piacenza. Kushoto ni aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Makame Rashid (sasa marehemu).
Former Arsenal star Aaron Ramsey lined up for his first job as a full-time
manager in League One
-
Aaron Ramsey did have a spell in charge as caretaker of Cardiff in 2025
after head coach Omer Riza was relieved of his duties. Ramsey drew two and
lost one...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment