Mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Ngoma (kulia) akimiliki mpira mbele ya wachezaji wenzake wa Azam FC mazoezini jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam
Donald Ngoma aliyesajiliwa kutoka Yanga SC ameanza mazoezi kikamilifu baada ya kupona goti
0 comments:
Post a Comment