Marcus Rashford akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee England dakika ya 54 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Uswisi kwenye mchezo wa kirafiki usiku huu Uwanja wa King Power mjini Leicester hilo likiwa bao lake la tano kuifungia timu yake ya taifa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment