Kinda wa miaka 19, Kylian Mbappe akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Ufaransa dakika ya 14 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Uholanzi kwenye mchezo wa Ligi ya Mataifa ya UEFA uliofanyika Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Ryan Babel aliisawazishia Uholanzi dakika ya 67 kabla ya Olivier Giroud kuifungia la ushindi Ufaransa dakika ya 74 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
A political amnesty law takes effect in Thailand but excludes lese majeste
-
An amnesty for political offenses committed in Thailand over the past two
decades took effect Monday, but the law excludes some of the more serious
cases, ...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment