Wachezaji wa Juventus wakishangilia na taji lao la Coppa Italia walilolitwaa kwa mara ya nne mfululizo usiku wa Jumatano baada ya kuifunga AC Milan mabao 4-0 Uwanja wa Olimpico mjini Roma, Medhi Benatia akifunga mabao mawili dakika za 56 na 64, mengine Douglas Costa dakika ya 61 na Nikola Kalinic aliyejifunga dakika ya 76 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
7 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment