Wachezaji wa Eintracht Frankfurt wakisherehekea ushindi wa Kombe ka Ujerumani baada ya kuwafunga Bayern Munich 3-1 usiku wa jana Uwanja wa Olympia mjini Berlin. Mabao ya Eintracht Frankfurt yalifungwa na An Ante Rebic mawili dakika za 11 na 82 na Mijat Gacinovic dakika ya 90 na ushei, wakati la Bayern Munich lilifungwa na Robert Lewandowski dakika ya 53 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment