Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akionyesha hasira zake baada ya timu yake kusawazishiwa mabao yote mawili na wenyeji Villarreal katiuka sare ya 2-2 usiku wa jana Uwanja wa Ceramica mjini Villarreal kuelekea fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Liverpool katikati ya wiki. Real Madrid ilitangulia kwa mabao ya Gareth Bale dakika ya 11 na Ronaldo dakika ya 32, kabla ya Villarreal kuchomoa kupitia kwa Roger Martinez dakika ya 70 na Samu Castillejo dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Aberdeen's top-flight status is at serious risk if this managerial debacle
doesn't get sorted out
-
The task of trying to defend the Scottish Cup was Aberdeen's last hope of
salvaging a truly dreadful season.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment