Nyota wa Barcelona, Ousmane Dembele (kushoto) akimkaribia mchezaji mwenzake, Phillippe Coutinho kumpongeza kwa kufunga bao lake la kwanza dakika ya 87 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Villarreal usiku wa Jumatano kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Dembele alifunga mabao mawili, lingine dakika y 90 na ushei wakati mabao mengine ya Barca yalifungwa na Coutinho dakika ya 11 na 16 na Lionel Messi dakika ya 45, wakati la Villarreal limefungwa na Nicola Sansone dakika ya 54 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
6 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment