Wachezaji wa Barcelona wakimrusha juu mkongwe, Andres Iniesta Lujan katika sherehe za kumuaga jana baada ya mechi ya La Liga dhidi ya Real Sociedad Uwanja wa Camp Nou wakishinda 1-0. Iniesta mwenye umri wa miaka 34 sasa anaondoka Barca baada ya miaka 22 tangu ajiunge nayo mwaka 1996 akiwa kijana mdogo akianzia akademi la La Masia kabla ya kupandishwa kikosi cha kwanza mwaka 2002 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment