• HABARI MPYA

    Sunday, May 27, 2018

    SIMBA SC YA MWAKA 1995 ILIVYOSHEHENI MAFUNDI WA MPIRA

    Kikosi cha Simba SC mwaka 1995 waliosimama kutoka kulia ni Kasongo Athumani, Thomas Kipese, Juma Amir, George Lucas, Madaraka Suleiman, Nteze John na Godwin Aswile. Waliochuchumaa kutoka ni Joseph Katuba (aliyekatwa, sasa marehemu), Hussein Marsha, Iddi Suleiman, Athumani China, Mustafa Hoza, Bahatisha Ndulite aliyekatwa kidogo.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC YA MWAKA 1995 ILIVYOSHEHENI MAFUNDI WA MPIRA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top