• HABARI MPYA

    Thursday, May 31, 2018

    HAWA WATAKUWA MABINGWA WA DUNIA MWAKA HUU URUSI?

    Lionel Messi na Sergio Aguero wote wameposti picha hizi wakiwa kwenye ndege kuelekea Fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi. Argentina wameshinda mataji mawili tu ya Kombe la Dunia, 1978 na 1986   
    Lionel Messi na Sergio Aguero wote walifunga kwenye ushindi wa 4-0 dhidi ya Haiti jana katika mchezo wa kirafiki
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAWA WATAKUWA MABINGWA WA DUNIA MWAKA HUU URUSI? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top