• HABARI MPYA

    Saturday, May 26, 2018

    YANGA NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA UHURU

    Mshambuliaji wa Yanga, Matheo Antony (kushoto) akiwapita mabeki wa Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vpdacom Tanzaian Bara jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 2-2   
    Kiungo Mkongo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi akimtoka beki wa Ruvu Shooting
    Wing  wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya akimruka beki wa Ruvu Shooting  
    Kiungo mshambuliaji wa Ruvu Shooting, Khamis Mcha 'Viallia'  akimiliki mpira mbele ya beki wa Yanga, Gardiel Michael
    Pius Buswita (kushoto) akitafuta mbinu za kumpita mchezaji wa Ruvu Shootinhg
    Kiungo chipukiiz wa Yanga, Maka Edward akimdibiti mchezaji wa Ruvu
    Winga wa Yanga, Emmanuel Martin akiwatoka wachezaji wa Ruvu Shooting
    Beki wa Yanga, Hassa Ramadhan 'Kessy' akiuwahi mpira dhidi ya mchezaji wa Ruvu Shooting 
    Kikosi cha Yaga SC kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam
    Kikosi cha Yaga SC kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top