Wachezaji wa Yanga wakiwa katika picha ya pamoja Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati wa safari ya kwenda Kenya kwenye michuano ya SportPesa Super Cup
Hapa wakati wanateremka kwenye basi lao kwenda Uwanja wa Ndege
Hapa ni kwenye foleni ya kuingia JNIA tayari kwa safari yao
0 comments:
Post a Comment