• HABARI MPYA

    Friday, May 25, 2018

    LIVERPOOL WALIVYOWASILI KIEV TAYARI KWA FAINALI

    Mohamed Salah akisalimiwa na mamia ya mashabiki waliojitokeza Liverpool wakati inawasili hotelini mjini Kiev, Urkaine Alhamisi tayari kwa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumamosi usiku dhidi ya Real Madrid PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL WALIVYOWASILI KIEV TAYARI KWA FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top